Baada ya
mechi za jana kutawaliwa na sare hii leo ni zamu ya miamba mine tofauti kutaka
nchi nne tofauti, miamba hiyo ni Real Madrid kutoka spain, atakaye menyana na
Borrusia Dotmund kutoka ujerumani.

Mchezo
mwingine utakuwa ni kati ya Paris st Gemain kutoka ufaransa na watawakaribisha
vijana kutoka London hao nsi wengine bali ni Chelsea walio chini ya the special
one au Mourinho.
Real Madird
wanawakaribisha vijana toka Iduna park arena huku wakiwa na kumbukumbu mbaya ya
kuondolewa katika hatua ya nusu fainali ya michuano hii msimu uliopita.
Kwa upande
wa Chelsea kocha wake amekaririwa akisema kuwa hii ni mechi yake muhimu sana
baada ya kupoteza mechi ya ligi kuu dhidi
ya crystal palace wiki iliyopita na kufanya watoke kwenye usukanu wa ligi,
mechi zote zitaanza saa 21:45 kwa saa za Afrika mashariki

No comments:
Post a Comment