Mchezaji gwiji wa Brazil Cafu aipa nafasi Liverpool ya kuchukuwa ubingwa baada ya kuichapa spurs goli nne kwa bila, huku akimnyanyulia mikono kijana kinda wa Liverpool Flanagan kwa kiwango chake bora.
Cafu aliyanena ya moyoni kwenye mtandao wake wa twitter na kumpa kinda huyo jina la utani kama REDCAFU, kutokana na kiwango chake kwa sasa na nafasi anayoicheza huku akijifananisha naye.
No comments:
Post a Comment