kabla sija sema neno lolote naanza na sababu zangu zitakazotowa jibu la swali langu
1. kupoteza ubingwa kw man u na kushika nafasi y 3 kw klabu tajiri
duniani hii inaonesh jinsi gani soko la man u linaanza kushuka duniani
2.Msimu ulioisha tarehe 29/3/2013 man u alijikusanyiya points 74 kw
mechi 29 na kulikuwa na pengo la point 15 dhidi ya timu iliyo shika
nafasi ya pili.Swali la kujiuliza man utd kwa sasa inapoint ngapi na
imecheza mechi ngapi na inashika na fasi ya ngapi?
3.man utd msimu huu imepata point ndogo sana kwenye uwanja wake wa nyumbani imezidiwa na Norwich na hull (21 point zilizojipatiya kila mmoja kwenye uwanja wake wa nyumbani).
4.man utd imefunga magoli kwenye uwanja wake wa nyumbani sawa sawa na magoli ya cardif na fulham waliyo ya funga kwenye viwanja vyao vya nyumbani tatizo liko wapi??????
KUVUNJWA KWA RECORD ZA MAN UTD
1. West brom 2-1 ushindi walio upata pale Old Trafford DEC ndio ulikuwa ushindi wao wa kwanza kuupata OT tokea 1978
2. Everton 1-0 at OT kushinda OT tokea 1992.
3. Yohan Cabaye's goal in DEC at OT, tokea miaka 41 iliyopita newcastle ndio walishinda OT.
4. Tottenham 2-1 at OT tangu miaka 20 iliyopita ndio mara ya mwisho kushinda OT
5. Tokea ianzishwe Swansea ndio mara yao ya kwanza kushinda OT, pale ilipo itoa man u FA Cup.
6. stoke 2-1 tokea mwaka wa 1984 ndio mara ya mwisho kuifunga man utd.
7. 2-0 against olimpiakos ndio mara ya kwnza man u kufungwa na timu kutokea ugiriki.
Hii ni kutoka kwa mdau mmoja wa ligi ya wingereza..
SWALI JE MOYE'SAENDELEE KUPEWA NAFASI??????

![]() |
KOCHA WA MAN UTD, DAVID MOYES |
Hii ni kutoka kwa mdau mmoja wa ligi ya wingereza..
SWALI JE MOYE'SAENDELEE KUPEWA NAFASI??????
No comments:
Post a Comment